Pular para o conteúdo
Publicidade

Zekaria 9:9,10

SRUV Swahili Revised Union Version

Mtawala ajaye wa watu wa Mungu

9 Mt 21:5;Yn 12:15;Zab 2:6;Yn 1:49;Lk 19:38;Isa 45:21;Mdo 22:14;1 Pet 3:18Furahi sana, Ee binti Sayuni;

Piga kelele, Ee binti Yerusalemu;

Tazama, mfalme wako anakuja kwako;

Ni mwenye haki, naye ana wokovu;

Ni mnyenyekevu, amepanda punda,

Naam, mwanapunda, mtoto wa punda.

10 Zab 72:3,8;Isa 11:10;Efe 2:14;Kol 1:20,21;Zab 72:8;Isa 9:6,7;Mik 5:4;Ufu 11:15Na gari la vita nitaliondoa liwe mbali na Efraimu, na farasi awe mbali na Yerusalemu, na upinde wa vita utaondolewa mbali; naye atawahubiria mataifa yote habari za amani; na mamlaka yake yatakuwa toka bahari hata bahari, na toka Mto hata miisho ya dunia.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    9 Shangilia sana, ee Binti Sayuni!

    Piga kelele, Binti Yerusalemu!

    Tazama, Mfalme wako anakuja kwako,

    ni mwenye haki, naye ana wokovu,

    ni mpole, naye amepanda punda,

    mwana-punda, mtoto wa punda.

    10 Nitaondoa magari ya vita kutoka Efraimu

    na farasi wa vita kutoka Yerusalemu,

    nao upinde wa vita utavunjwa.

    Atatangaza amani kwa mataifa.

    Utawala wake utaenea kutoka bahari hadi bahari,

    na kutoka Mto9:10 yaani Mto Frati hadi mwisho wa dunia.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    9 Shangilia sana, ee Binti Sayuni!

    Piga kelele, Binti Yerusalemu!

    Tazama, Mfalme wako anakuja kwako,

    ni mwenye haki, naye ana wokovu,

    ni mpole, naye amepanda punda,

    mwana-punda, mtoto wa punda.

    10 Nitaondoa magari ya vita kutoka Efraimu

    na farasi wa vita kutoka Yerusalemu,

    nao upinde wa vita utavunjwa.

    Atatangaza amani kwa mataifa.

    Utawala wake utaenea kutoka bahari hadi bahari,

    na kutoka Mto Frati hadi mwisho wa dunia.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.