Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "fé"

114 resultados encontrados

  1. Provérbios 17

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 17
    Mostrando versículo 3 de 28

    3Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru ni kwa ajili ya dhahabu,bali Bwana huujaribu moyo.

  2. Salmos 115

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 115
    Mostrando versículo 4 de 18

    4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu,zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.

  3. Gênesis 42

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 42
    Mostrando versículo 2 de 38

    2Akaendelea kuwaambia, "Nimesikia kuwa huko Misri kuna nafaka. Telemkeni huko mkanunue chakula kwa ajili yetu, ili tuweze kuishi wala tusife."

  4. Êxodo 31

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 31
    Mostrando versículo 4 de 18

    4ili kubuni michoro ya kupendeza katika ufundi wa dhahabu, fedha na shaba,

  5. Isaías 46

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 46
    Mostrando versículo 6 de 13

    6Wengine humwaga dhahabu kutoka kwenye mifuko yao,na kupima fedha kwenye mizani;huajiri mfua dhahabu kutengeneza mungu,kisha huisujudia na kuiabudu.

  6. Provérbios 8

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 10 de 36

    10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha,maarifa badala ya dhahabu safi,

  7. Gênesis 47

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 47
    Mostrando versículo 14 de 31

    14Yosefu akakusanya fedha zote zilizopatikana kutoka mauzo ya nafaka huko Misri na Kanaani, akazileta kwenye jumba la kifalme la Farao.

  8. Salmos 66

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 66
    Mostrando versículo 10 de 20

    10Ee Mungu, wewe ulitujaribu,ukatusafisha kama fedha.

  9. Isaías 2

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 7 de 22

    7Nchi yao imejaa fedha na dhahabu,hakuna mwisho wa hazina zao.Nchi yao imejaa farasi,hakuna mwisho wa magari yao.

  10. Provérbios 7

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículo 20 de 27

    20Amechukua mkoba uliojazwa fedhana hatakuwepo nyumbani karibuni."

  11. Isaías 31

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 31
    Mostrando versículo 7 de 9

    7Kwa kuwa katika siku ile kila mmoja wenu atazikataa sanamu za fedha na za dhahabu zilizotengenezwa kwa mikono yenu yenye dhambi.

  12. Salmos 135

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 135
    Mostrando versículo 15 de 21

    15Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu,zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.

  13. Isaías 52

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 52
    Mostrando versículo 3 de 15

    3Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana:"Mliuzwa pasipo malipo,nanyi mtakombolewa bila fedha."

  14. Isaías 60

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 60
    Mostrando versículo 9 de 22

    9Hakika visiwa vinanitazama,merikebu za Tarshishi60:9 Au: za biashara (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16). ndizo zinazotangulia,zikiwaleta wana wenu kutoka mbali,wakiwa na fedha na dhahabu zao,kwa heshima ya Bwana, Mungu wenu,yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli,kwa maana amekujalia utukufu.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo