3 Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake:
"Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu
ni Bwana Mwenye Nguvu Zote;
dunia yote imejaa utukufu wake."
3 Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake:
"Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu
ni Bwana Mwenye Nguvu Zote;
dunia yote imejaa utukufu wake."
3 Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake:
"Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu
ni Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni;
dunia yote imejaa utukufu wake."
3 Ufu 4:8Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.