16 Lakini wewe ni Baba yetu,
ingawa Abrahamu hatufahamu sisi
wala Israeli hatutambui;
wewe, Ee Bwana, ndiwe Baba yetu,
Mkombozi wetu tangu zamani za kale ndilo jina lako.
16 Lakini wewe ni Baba yetu,
ingawa Abrahamu hatufahamu sisi
wala Israeli hatutambui;
wewe, Ee Bwana, ndiwe Baba yetu,
Mkombozi wetu tangu zamani za kale ndilo jina lako.
16 Lakini wewe ni Baba yetu,
ingawa Ibrahimu hatufahamu sisi
wala Israeli hatutambui;
wewe, Ee Mwenyezi Mungu, ndiwe Baba yetu,
Mkombozi wetu tangu zamani za kale ndilo jina lako.
16 Gal 3:28Maana wewe ndiwe Baba yetu, ijapokuwa Abrahamu hatujui, wala Israeli hatukiri; wewe, BWANA, ndiwe Baba yetu, mkombozi wetu tangu milele ndilo jina lako.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.