Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "fé"

116 resultados encontrados

  1. Salmos 44

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 44
    Mostrando versículo 12 de 26

    12Umewauza watu wako kwa fedha kidogo,wala hukupata faida yoyote kwa mauzo yao.

  2. Salmos 52

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 52
    Mostrando versículo 1 de 9

    1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya?Kwa nini unajivuna mchana kutwa,wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu?

  3. Isaías 30

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 30
    Mostrando versículo 3 de 33

    3Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu,kivuli cha Misri kitawaletea fedheha.

  4. Isaías 61

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 61
    Mostrando versículo 7 de 11

    7Badala ya aibu yaowatu wangu watapokea sehemu maradufu,na badala ya fedhehawatafurahia katika urithi wao;hivyo watarithi sehemu maradufu katika nchi yao,nayo furaha ya milele itakuwa yao.

  5. Provérbios 19

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 19
    Mostrando versículo 26 de 29

    26Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yakeni mwana aletaye aibu na fedheha.

  6. Sofonias 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 18 de 20

    18"Huzuni katika sikukuu zilizoamriwanitaziondoa kwenu;hizo ni mzigo na fedheha kwenu.

  7. Jeremias 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 25 de 25

    25Sisi na tulale chini katika aibu yetu,na fedheha yetu itufunike.Tumetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu, Mungu wetu,sisi na mababa zetu;tangu ujana wetu hadi leohatukumtii Mwenyezi Mungu, Mungu wetu."

  8. Jeremias 23

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 23
    Mostrando versículo 40 de 40

    40Nitaleta juu yako fedheha ya kudumu: yaani aibu ya kudumu ambayo haitasahaulika."

  9. Juízes 17

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 17
    Mostrando versículo 2 de 13

    2Akamwambia mama yake, "Zile shekeli elfu moja na mia moja17:2 Shekeli 1,100 ni sawa na kilo 13. za fedha zilizochukuliwa kwako, ambazo nilisikia ukizinenea maneno ya laana, hizi hapa; mimi ndiye niliyezichukua."Ndipo mama yake akamwambia, "Mwenyezi Mungu na akubariki, mwanangu."

  10. Esdras 1

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículo 4 de 11

    4Nao wakazi wa popote manusura wanapoishi sasa, wawape manusura fedha na dhahabu, pamoja na vifaa na mifugo, na sadaka za hiari kwa ajili ya Hekalu la Mungu huko Yerusalemu.’ "

  11. 2 Reis 12

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículo 4 de 21

    4Yoashi akawaambia makuhani, "Kusanyeni fedha zote zitakazoletwa kama sadaka takatifu kwenye Hekalu la Mwenyezi Mungu, yaani fedha zilizokusanywa watu walipohesabiwa, fedha zilizopokelewa kutokana na nadhiri za watu binafsi, na fedha zilizoletwa kwa hiari hekaluni.

  12. Oséias 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 2 de 5

    2Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano3:2 Shekeli 15 ni sawa na gramu 170. za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu3:2 Homeri moja na nusu ni kama lita 330. ya shayiri.

  13. Jó 27

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 27
    Mostrando versículo 5 de 23

    5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi;hadi nife, sitakana uadilifu wangu.

  14. Cânticos 8

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 9 de 14

    9Kama yeye ni ukuta,tutajenga minara ya fedha juu yake.Na kama yeye ni mlango,tutamzungushia mbao za mwerezi.Mpendwa

  15. Gênesis 23

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 23
    Mostrando versículo 13 de 20

    13akamwambia Efroni wale watu wakiwa wanasikia, "Tafadhali nisikilize. Nitakulipa fedha za hilo shamba. Kubali kuzipokea ili niweze kumzika maiti wangu."

  16. Cânticos 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 10 de 11

    10Nguzo zake alizitengeneza kwa fedha,kitako chake kwa dhahabu.Kiti chake kilipambwa kwa zambarau,gari lake likanakshiwa njumu kwa upendona binti za Yerusalemu.

  17. Mateus 28

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 28
    Mostrando versículo 12 de 20

    12Baada ya viongozi wa makuhani kukutana na wazee na kupanga njama, waliwapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha,

  18. 2 Crônicas 27

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 27
    Mostrando versículo 3 de 9

    3Yothamu akajenga upya Lango la Juu la Hekalu la Mwenyezi Mungu na kufanya kazi kubwa kwenye ukuta katika kilima cha Ofeli.

  19. Amós 2

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 6 de 16

    6Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu:"Kwa dhambi tatu za Israeli,hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.Wanawauza wenye haki kwa fedha,na maskini kwa jozi ya viatu.

  20. Zacarias 6

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 6
    Mostrando versículo 10 de 15

    10"Chukua fedha na dhahabu kutoka kwa watu waliohamishwa, yaani Heldai, Tobia na Yedaya ambao wamefika kutoka Babeli. Siku hiyo hiyo nenda nyumbani mwa Yosia mwana wa Sefania.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo