Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 30:6,11-14

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

6 Mwenyezi Mungu, Mungu wako, ataitahiri mioyo yenu na mioyo ya wazao wenu ili mweze kumpenda kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote ukaishi.

Uzima na Mauti

11 Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza. 12 Hakiko juu mbinguni, ili uulize, "Ni nani atakayepanda mbinguni kukileta na kututangazia ili tuweze kutii?" 13 Wala hakiko ng’ambo ya bahari, ili uulize, "Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?" 14 La hasha! Lile neno liko karibu sana nawe; liko kinywani mwako na ndani ya moyo wako ili uweze kulitii.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Kum 10:16;Eze 11:19BWANA, Mungu wako, atautahiri moyo wako, na moyo wa uzao wako, ili umpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, upate kuwa hai.

    11 Isa 45:19Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali. 12 Rum 10:6-8;Mit 30:4;Yn 3:13Si mbinguni, hata useme, Ni nani atakayetupandia mbinguni akatuletee, aje atuambie tusikie, tupate kuyafanya? 13 Wala si ng’ambo ya pili ya bahari, hata useme, Ni nani atakayetuvukia bahari, akatuletee, aje atuambie, tusikie, tupate kuyafanya? 14 Lakini neno li karibu nawe sana, li katika kinywa chako na moyo wako, upate kulifanya.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    6 Bwana Mungu wako ataitahiri mioyo yenu na mioyo ya wazao wenu ili mweze kumpenda kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote ukaishi.

    11 Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza. 12 Hakiko juu mbinguni, ili uulize, "Ni nani atakayepanda mbinguni kukileta na kututangazia ili tuweze kutii?" 13 Wala hakiko ngʼambo ya bahari, ili uulize, "Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?" 14 La hasha! Lile neno liko karibu sana nawe; liko kinywani mwako na ndani ya moyo wako ili uweze kulitii.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.