25 Ninajua kwamba Mkombozi19:25 au Mtetezi wangu yu hai,
naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi.
26 Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa,
bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu;
27 mimi nitamwona kwa macho yangu mwenyewe:
mimi, wala si mwingine.
Tazama jinsi moyo wangu unavyomtamani sana!