6 Mwenyezi Mungu akamwambia Shetani, "Vema sana; kwa hiyo, yeye yumo mikononi mwako, lakini lazima umwachie uhai wake."
7 Basi Shetani akatoka mbele za Mwenyezi Mungu, naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa. 8 Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho, huku akiketi kwenye majivu.