6 BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake. 7 Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA, akampiga Ayubu na majipu mabaya tangu wayo wa mguu hadi utosi wa kichwa. 8 2 Sam 13:19;Ayu 42:6;Mt 11:21Naye akashika kigae cha kujikunia; akaketi majivuni.
Publicidade
Ayubu 2:6-8
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
6 Mwenyezi Mungu akamwambia Shetani, "Vema sana; kwa hiyo, yeye yumo mikononi mwako, lakini lazima umwachie uhai wake."
7 Basi Shetani akatoka mbele za Mwenyezi Mungu, naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa. 8 Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho, huku akiketi kwenye majivu.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
6 Bwana akamwambia Shetani, "Vema sana, kwa hiyo, yeye yumo mikononi mwako, lakini lazima umwachie uhai wake."
7 Basi Shetani akatoka mbele za Bwana naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa. 8 Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.