2 Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai,
lakini uadilifu huokoa kutoka mautini.
9 Mtu mwadilifu hutembea salama,
lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa.
2 Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai,
lakini uadilifu huokoa kutoka mautini.
9 Mtu mwadilifu hutembea salama,
lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa.
2 Zab 49:6;Lk 12:19;Dan 4:27Hazina za uovu hazifaidii kitu;
Bali haki huokoa na mauti.
9 Zab 23:4;Isa 33:15,16Aendaye kwa unyofu huenda salama;
Bali apotoshaye njia zake atajulikana.
2 Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai,
lakini uadilifu huokoa kutoka mautini.
9 Mtu mwadilifu hutembea salama,
lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.