15 Mtu mjinga huamini kila kitu,
bali mwenye busara hufikiria hatua zake.
16 Mtu mwenye hekima humcha Mwenyezi Mungu na kuepuka mabaya,
bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe.