16 Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Mwenyezi Mungu,
kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.
17 Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo,
kuliko nyama ya ndama aliyenona pamoja na chuki.
16 Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Mwenyezi Mungu,
kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.
17 Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo,
kuliko nyama ya ndama aliyenona pamoja na chuki.
16 Mit 16:8;Mhu 4:6;1 Tim 6:6Kuwa na mali chache pamoja na kumcha BWANA;
Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu.
17 Chakula cha mboga palipo na upendo;
Ni bora kuliko ng’ombe aliyenona pamoja na kuchukiana.
16 Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Bwana,
kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.
17 Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo
kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.