11 Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi Mungu
na usichukie maonyo yake,
12 kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda,
kama vile baba afanyavyo
kwa mwana apendezwaye naye.
11 Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi Mungu
na usichukie maonyo yake,
12 kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda,
kama vile baba afanyavyo
kwa mwana apendezwaye naye.