13 Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
mshike, maana yeye ni uzima wako.
14 Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu,
wala usitembee katika njia ya wapotovu.
13 Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
mshike, maana yeye ni uzima wako.
14 Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu,
wala usitembee katika njia ya wapotovu.