Pular para o conteúdo
Publicidade

Romanos 10

17 Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Al-Masihi. 18 Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana:

"Sauti yao imeenea duniani pote,

nayo maneno yao yameenea

hadi miisho ya ulimwengu."

Veja também