Pular para o conteúdo
Publicidade

1 João 2

20 1 Kor 2:15Nanyi mmepakwa mafuta na Yeye aliye Mtakatifu nanyi mnajua nyote. 27 Yn 14:26;16:13;Yer 31:34Nanyi, mafuta yale mliyoyapata kwake yanakaa ndani yenu, wala hamna haja ya mtu kuwafundisha; lakini kama mafuta yake yanavyowafundisha habari za mambo yote, tena ni kweli wala si uongo, na kama yalivyowafundisha, kaeni ndani yake.

Veja também