3 Amu 20:26;1 Sam 7:6;Ezr 8:21-23;Est 4:16;Yer 36:9;Yon 3:5Yehoshafati akaogopa, akauelekeza uso wake amtafute BWANA; akatangaza watu wote kufunga katika Yuda yote. 4 Yoe 1:14Yuda wakakusanyika pamoja ili wamtafute BWANA; hata kutoka miji yote ya Yuda wakaja kumtafuta BWANA.
Publicidade
2 Mambo ya Nyakati 20
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.