14Mt 21:12,13;Mk 11:15-17;Lk 19:45,46 Akaona pale hekaluni watu waliokuwa wakiuza ng’ombe na kondoo na njiwa, na wenye kuvunja fedha wameketi.
Resultados da busca por "fé"
116 resultados encontrados
- Capítulo 2
João 2
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 14 de 25 - Capítulo 27
2 Crônicas 27
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 3 de 932 Nya 33:14;Neh 3:26 Ndiye aliyelijenga lango la juu la nyumba ya BWANA, na juu ya ukuta wa Ofeli akajenga sana.
- Capítulo 43
Gênesis 43
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 8 de 348Yuda akamwambia Israeli baba yake, Mtume kijana pamoja nami, tuondoke, tuende zetu, ili tupate kuishi, wala tusife, sisi na wewe na watoto wetu.
- Capítulo 17
Gênesis 17
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 12 de 2712Lk 2:21;Yn 7:22 Katika vizazi vyako vyote, kila mtoto wa kiume miongoni mwenu atatahiriwa akiwa na umri wa siku nane, awe mtumishi aliyezaliwa katika nyumba yako au uliyemnunua kwa fedha zako japo hakuwa wa uzao wako.
- Capítulo 8
Oséias 8
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 1441 Fal 12:16-20;2 Fal 15:13,17,25 Wamesimamisha wafalme, lakini si kwa shauri langu; wamejifanyia wakuu, lakini nilikuwa sina habari; kwa fedha yao na dhahabu yao wamejifanyia sanamu, kusudi wakatiliwe mbali.
- Capítulo 5
Neemias 5
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 194Tena walikuwako wengine waliosema, Tumekopa fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa kuweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu.
- Capítulo 5
Lamentações 5
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 224Tumekunywa maji yetu kwa fedha;Kuni zetu twauziwa.
- Capítulo 23
Atos 23
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 22 de 3522Basi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awaye yote ya kwamba umeniambia haya.
- Capítulo 2
Amós 2
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 6 de 166Isa 29:21;Amo 5:11,12 Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Israeli, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu wamewauza wenye haki kwa fedha, na maskini kwa jozi ya viatu;
- Capítulo 22
2 Reis 22
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 2042 Fal 12:4,9;2 Nya 24:8-14;Mk 12:41,42;Neh 11:19;Zab 84:10 Nenda kwa Hilkia, kuhani mkuu, ili aihesabu fedha yote inayoletwa nyumbani mwa BWANA, ambayo mabawabu wameipokea kwa watu;
- Capítulo 3
Malaquias 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 2 de 182Isa 4:4;Yoe 2:11;Ufu 6:17 Lakini ni nani atakayestahimili siku ya kuja kwake? Au ni nani atakayesimama atakapoonekana yeye? Kwa maana yeye ni mfano wa moto wa mtu asafishaye fedha, ni mfano wa sabuni ya mtu afuaye nguo;
- Capítulo 9
Provérbios 9
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 1 de 181Mt 16:18;Efe 2:20;1 Tim 3:15;Ebr 3:3-6 Hekima ameijenga nyumba yake,Amezichonga nguzo zake saba;
- Capítulo 38
Êxodo 38
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 10 de 3110nguzo zake zilikuwa ishirini, na vitako vyake vilikuwa ishirini, vilikuwa vya shaba; kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
- Capítulo 18
1 Crônicas 18
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 10 de 17102 Sam 8:10 akamtuma mwanawe Hadoramu kwa mfalme Daudi, ili kumsalimia, na kumbarikia, kwa sababu alikuwa amepigana na Hadadezeri, na kumpiga; kwa maana Hadadezeri alikuwa amepigana vita juu ya Tou; naye akaleta vyombo vya dhahabu, na fedha, na shaba, vya namna zote.
- Capítulo 13
Zacarias 13
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 9 de 99Isa 48:10;Zab 66:10;Mal 3:4;1 Pet 1:6,7;Ufu 2:10 Nami nitalileta fungu lile la tatu na kulipitisha kati ya moto, nami nitawasafisha kama fedha isafishwavyo, nami nitawajaribu kama dhahabu ijaribiwavyo; wataliitia jina langu, nami nitawasikia; mimi nitasema, Watu hawa ndio wangu; nao watasema, BWANA ndiye Mungu wangu.
- Capítulo 3
Miquéias 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 11 de 1211Isa 1:23;Eze 22:12;Hos 4:18;Mik 7:3;Yer 6:13;Tit 1:11;1 Sam 4:5,6;Isa 48:2 Wakuu wake huhukumu ili wapate rushwa, na makuhani wake hufundisha ili wapate ijara, na manabii wake hubashiri ili wapate fedha; ila hata hivyo watamtegemea BWANA, na kusema, Je! Hayupo BWANA katikati yetu? Hapana neno baya lolote litakalotufikia.
- Capítulo 35
Salmos 35
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 284Waaibike na kufedheheka,Wanaoitafuta nafsi yangu.Warudishwe nyuma, wafadhaishwe,Wanaonizulia mabaya.
- Capítulo 11
Zacarias 11
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 9 de 179Yer 15:2 Ndipo nikasema, Sitawalisheni; afaye na afe; atakayekatiliwa mbali na akatiliwe mbali; nao waliosalia, kila mmoja na ale nyama ya mwili wa mwenziwe.
- Capítulo 16
2 Crônicas 16
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 2 de 142Ndipo Asa akatoa fedha na dhahabu katika hazina za nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, akampelekea Ben-hadadi mfalme wa Shamu, aliyekaa Dameski, akasema,
- Capítulo 27
Levítico 27
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 3 de 343Kut 30:13;Hes 3:47;18:16;Eze 45:12 Na hesabu yako itakuwa kwa mwanamume, tokea aliye na umri wa miaka ishirini hata umri wa miaka sitini, hesabu yako itakuwa shekeli hamsini za fedha, kwa shekeli ya mahali patakatifu.