10 Kum 4:36;Neh 9:20;Zab 32:7,10;147:19,20;Rum 2:18;3:2;Zab 17:8;Mit 7:2Alimkuta katika nchi ya ukame,
Na katika jangwa tupu litishalo;
Alimzunguka, akamtunza;
Akamhifadhi kama mboni ya jicho;
11 Mfano wa tai ataharikishaye kioto chake;
Na kupapatika juu ya makinda yake,
Alikunjua mbawa zake, akawatwaa,
Akawachukua juu ya mbawa zake;