19 Kum 30:6;2 Nya 30:12;Yer 24:7;31:33;Sef 3:9;Zab 51:10;Zek 7:12;Eze 36:26-28Nami nitawapa moyo mmoja, nami nitatia roho mpya ndani yao; nami nitauondoa moyo wa kijiwe katika miili yao, nami nitawapa moyo wa nyama; 20 Yer 11:4;Ebr 8:10;Eze 14:11;36:28ili waende katika amri zangu, na kuyashika maagizo yangu, na kuyatenda; nao watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao.
Publicidade