Pular para o conteúdo
Publicidade

Ezequiel 18

4 Zek 12:1;Ebr 12:9;Rum 6:23Tazama, roho zote ni mali yangu; kama vile roho ya baba ni mali yangu, ndivyo ilivyo roho ya mwana mali yangu; roho ile itendayo dhambi itakufa. 20 2 Nya 25:4;Isa 3:10;Rum 2:9;Kum 24:16Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.

Veja também