26 Zab 51:10;Yn 3:3-5;2 Kor 3:18;Eze 11:19-20Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani ya mwili wenu, nami nitawapa moyo wa nyama. 27 Eze 37:14;Isa 44:3;Rum 8:4,9;Gal 5:5;Efe 1:13Nami nitatia roho yangu ndani yenu, na kuwaendesha katika sheria zangu, nanyi mtazishika hukumu zangu, na kuzitenda.