17 Mwa 22:1;Yak 2:22Kwa imani Abrahamu alipojaribiwa, akamtoa Isaka awe dhabihu; na yeye aliyezipokea hizo ahadi alikuwa akimtoa mwanawe, mzaliwa pekee; 18 Mwa 21:12naam, yeye aliyeambiwa, Katika Isaka uzao wako utaitwa, 19 Rum 4:17akihesabu ya kuwa Mungu aweza kumfufua hata kutoka kuzimu; akampata tena toka huko kwa mfano.
Publicidade
Waraka kwa Waebrania 11
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.