Chipukizi la haki la Daudi
5 Isa 4:2;11:1;32:1;Yer 33:14;Dan 9:24;Zab 72:2Tazama siku zinakuja, asema BWANA, nitakapomchipushia Daudi Chipukizi la haki; naye atamiliki mfalme, atatenda kwa hekima, naye atafanya hukumu na haki katika nchi.