Chipukizi la haki la Daudi
5 Isa 4:2;11:1;32:1;Yer 33:14;Dan 9:24;Zab 72:2Tazama siku zinakuja, asema BWANA, nitakapomchipushia Daudi Chipukizi la haki; naye atamiliki mfalme, atatenda kwa hekima, naye atafanya hukumu na haki katika nchi. 6 Kum 33:28;Zek 14:11;Yer 33:16;1 Kor 1:30Katika siku zake Yuda ataokolewa, na Israeli atakaa salama, na jina lake atakaloitwa ni hili, BWANA ni haki yetu.