Pular para o conteúdo
Publicidade

Hesabu 12:1-3,8

SRUV Swahili Revised Union Version

Haruni na Miriamu wamwonea wivu Musa

1 Kut 2:21Kisha Miriamu na Haruni wakamteta Musa kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa; maana, alikuwa amemwoa mwanamke Mkushi. 2 Kut 15:20;Mik 6:4;Mwa 29:33;2 Fal 19:4;Zab 94:9;Isa 37:4;Eze 35:12Wakasema, Je! Ni kweli BWANA amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? BWANA akasikia maneno yao. 3 Zab 147:6;149:4;Mt 5:5;21:5;1 Tim 6:11;2 Tim 2:25;1 Pet 3:4Basi huyo mtu, huyo Musa, alikuwa mpole12:3 Au mnyenyekevu. sana zaidi ya wanadamu wote waliokuwa juu ya uso wa nchi.

8 Kut 33:11;Kum 34:10;1 Kor 13:12;Kut 33:19;2 Pet 2:10Kwake nitanena mdomo kwa mdomo,

Maana, waziwazi wala si kwa mafumbo;

Na umbo la BWANA yeye ataliona.

Mbona basi ninyi hamkuogopa

Kumteta mtumishi wangu, huyo Musa?

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    1 Miriamu na Haruni walianza kuzungumza dhidi ya Musa kwa sababu ya mke wake Mkushi, kwa kuwa alikuwa ameoa Mkushi. 2 Waliuliza, "Je, Mwenyezi Mungu amesema kupitia Musa peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?" Naye Mwenyezi Mungu akasikia hili.

    3 (Basi Musa alikuwa mtu mnyenyekevu sana, mnyenyekevu kuliko mtu mwingine yeyote katika uso wa dunia.)

    8 Kwake nitanena naye uso kwa uso,

    waziwazi wala si kwa mafumbo;

    yeye ataona umbo la Mwenyezi Mungu.

    Kwa nini basi ninyi hamkuogopa

    kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Musa?"

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    1 Miriamu na Aroni walianza kuzungumza dhidi ya Mose kwa sababu ya mke wake Mkushi, kwa kuwa alikuwa ameoa Mkushi. 2 Waliuliza, "Je, Bwana amesema kupitia Mose peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?" Naye Bwana akasikia hili.

    3 (Basi Mose alikuwa mtu mnyenyekevu sana, mnyenyekevu kuliko mtu mwingine yeyote katika uso wa dunia.)

    8 Kwake nitanena naye uso kwa uso,

    waziwazi wala si kwa mafumbo;

    yeye ataona umbo la Bwana.

    Kwa nini basi ninyi hamkuogopa

    kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Mose?"

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.