17 Ayu 19:25-27;Zek 12:10;Yud 1:14;Ufu 1:7;Yer 23:5;Dan 2:14;Lk 1:32,33;Ebr 1:8;Ufu 22:16;Mwa 49:10;Zab 110:2Namwona, lakini si sasa;
Namtazama, lakini si karibu;
Nyota itatokea katika Yakobo
Na fimbo ya enzi itainuka katika Israeli;
Nayo itazipigapiga pembe za Moabu,24:17 Au ‘vipaji vya nyuso za Moabu’.
Na kuwavunjavunja wana wote wa ghasia.24:17 Au vichwa vya wazawa wa Sethi.