Órfãos
Deus tem um cuidado especial pelos órfãos. Ele se apresenta como pai dos que não têm pai e defensor dos desamparados, e ordena a seu povo que faça o mesmo.
Deus, pai dos órfãos
O Senhor é pai dos órfãos e protetor das viúvas. Ele sustenta os que perderam amparo humano e cuida deles com ternura.
Mwimbieni Mungu, lisifuni jina lake,
Mwimbieni wimbo yeye apitaye katika mawingu,
Jina lake ni YAHU;
Shangilieni mbele zake.
Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane,
Ni Mungu aliye katika kao lake takatifu.
BWANA huwahifadhi wageni;
Huwategemeza yatima na mjane;
Bali njia ya wasio haki huiharibu.
Mfanyieni hukumu maskini na yatima;
Mtendeeni haki aliyeonewa, na fukara;
Sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu.
O chamado da justiça
A religião pura é visitar órfãos e viúvas em suas aflições. Deus ordena a defesa do necessitado e o cuidado com os mais frágeis.
Dini iliyo safi, isiyo na dosari mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mjane.
BWANA wa majeshi amesema hivi, ya kwamba, Fanyeni hukumu za kweli, kila mtu na amwonee ndugu yake rehema na huruma; tena msimdhulumu mjane, wala yatima, wala mgeni, wala maskini; wala mtu awaye yote miongoni mwenu asiwaze mabaya juu ya ndugu yake moyoni mwake.
Usimtese mjane yeyote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima. Ukiwatesa watu hao katika neno lolote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao, na hasira yangu itawaka moto, nami nitawaua ninyi kwa upanga; na wake wenu watakuwa wajane, na watoto wenu mayatima.
Kwa sababu nilimwokoa maskini aliyenililia;
Yatima naye, na yule asiyekuwa na mtu wa kumsaidia.
Baraka yake yeye aliyekuwa karibu na kupotea ilinijia;
Nikaufanya moyo wa mjane kuimba kwa furaha.