Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "salvação"

62 resultados encontrados

  1. Efésios 2

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículos 8–21 de 22

    8Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kupitia kwa imani, nayo haikutokana na ninyi wenyewe. Hii ni zawadi kutoka kwa Mungu,

    16naye katika mwili huu mmoja awapatanishe wote wawili na Mungu kupitia msalaba, ili kwa huo msalaba akaangamiza uadui wao.

    21Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kuinuliwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Mwenyezi Mungu.

  2. 1 João 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 4–21 de 21

    4Kwa maana kila aliyezaliwa na Mungu huushinda ulimwengu. Huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, yaani hiyo imani yetu.

    5Ni nani yule aushindaye ulimwengu? Ni yule tu aaminiye kwamba Isa ni Mwana wa Mungu5:5 Yaani Mwana wa asili moja na Mwenyezi Mungu (Yohana 1:1-2), wa kiroho, bali si wa kimwili..

    21Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.

  3. Isaías 12

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículos 2–5 de 6

    2Hakika Mungu ni wokovu wangu;nitamtumaini wala sitaogopa.Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,ni nguvu zangu na wimbo wangu;amekuwa wokovu wangu."

    3Kwa furaha mtachota majikutoka visima vya wokovu.

    5Mwimbieni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa ametenda mambo makuu,hili na lijulikane duniani kote.

  4. Jó 33

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 33
    Mostrando versículos 9–28 de 33

    9‘Mimi ni safi na sina dhambi;mimi ni safi na sina hatia.

    18kuiokoa nafsi yake na shimo,uhai wake usiangamizwe kwa upanga.

    28Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni,nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’

  5. Colossenses 2

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículos 12–21 de 23

    12mkiwa mmezikwa pamoja naye katika ubatizo2:12 Ubatizo ni ishara ya kuungama dhambi na kusamehewa na Mwenyezi Mungu, na kuweka nadhiri ya kubadilisha mienendo ya awali. Wafuasi wa Isa Al-Masihi pia wanapokea Roho wa Mungu kama dhibitisho ya imani yao., na kufufuliwa pamoja naye kupitia kwa imani yenu katika uweza wa Mungu, aliyemfufua kutoka kwa wafu.

    15Baada ya Mungu kuzivua enzi na mamlaka, aliziaibisha hadharani, akishangilia katika ushindi wa msalaba.

    21"Msishike! Msionje! Msiguse!"?

  6. 2 Tessalonicenses 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 5–18 de 18

    5Mwenyezi Mungu aiongoze mioyo yenu katika upendo wa Mungu na katika saburi ya Al-Masihi.

    16Basi, Bwana wa amani mwenyewe awapeni amani nyakati zote na kwa kila njia. Mwenyezi Mungu awe nanyi nyote.

    18Neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi iwe nanyi nyote. Amen.

  7. Mateus 24

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 24
    Mostrando versículos 13–22 de 51

    13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.

    20Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi au siku ya Sabato.

    22"Kama siku hizo zisingefupishwa, hakuna mtu ambaye angeokoka. Lakini kwa ajili ya wateule, siku hizo zitafupishwa.

  8. Salmos 33

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 33
    Mostrando versículos 17–21 de 22

    17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu,licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa.

    19ili awaokoe na mauti,na kuwahifadhi wakati wa njaa.

    21Mioyo yetu humshangilia,kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.

  9. João 4

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 4
    Mostrando versículos 4–42 de 54

    4Wakati huo ilimlazimu apitie Samaria.

    22Ninyi Wasamaria mnaabudu msichokijua. Sisi Wayahudi tunamwabudu Mungu tunayemjua kwa sababu wokovu unatoka kwa Wayahudi.

    42Wakamwambia yule mwanamke, "Sasa tunaamini, wala si kwa sababu ya maneno yako tu, bali kwa kuwa tumemsikia sisi wenyewe. Tumejua hakika kwamba huyu ndiye Al-Masihi, Mwokozi wa ulimwengu."

  10. Rute 4

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 4
    Mostrando versículos 20–22 de 22

    20Aminadabu akamzaa Nashoni,Nashoni akamzaa Salmoni,

    21Salmoni akamzaa Boazi,Boazi akamzaa Obedi,

    22Obedi akamzaa Yese,na Yese akamzaa Daudi.

  11. 1 Tessalonicenses 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 22–28 de 28

    22Jiepusheni na uovu wa kila namna.

    23Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Isa Al-Masihi.

    28Neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi iwe nanyi. Amen.

  12. Isaías 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 19–23 de 26

    19vipuli, vikuku, shela,

    21pete zenye muhuri, pete za puani,

    23vioo, mavazi ya kitani, taji na shali.

  13. Números 19

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 19
    Mostrando versículos 9–19 de 22

    9"Mtu ambaye ametakaswa atakusanya majivu ya mtamba huyo na kuyaweka mahali nje ya kambi palipo safi. Yatahifadhiwa na jumuiya ya Waisraeli kwa matumizi katika maji ya utakaso; ni kwa ajili ya kutakasa kutoka dhambini.

    13Mtu yeyote agusaye maiti ya mtu yeyote na kushindwa kujitakasa mwenyewe hunajisi Maskani ya Mwenyezi Mungu. Mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali na Israeli. Kwa sababu hajanyunyiziwa maji ya utakaso, yeye ni najisi; unajisi wake unabaki juu yake.

    19Mtu ambaye ni safi ndiye atakayemnyunyizia yeyote ambaye ni najisi siku ya tatu na siku ya saba, na katika siku ya saba atamtakasa mtu huyo. Mtu ambaye ametakaswa lazima afue nguo zake na kuoga kwa maji, na jioni ile atakuwa safi.

  14. Josué 15

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 15
    Mostrando versículos 26–40 de 63

    26Amamu, Shema, Molada,

    29Baala, Iyimu, Esemu,

    40Kaboni, Lamasi, Kitlishi,

  15. Salmos 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 1–8 de 8

    1Ee Mwenyezi Mungu, tazama adui zangu walivyo wengi!Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu!

    7Ee Mwenyezi Mungu, amka!Niokoe, Ee Mungu wangu!Wapige adui zangu wote kwenye taya,vunja meno ya waovu.

    8Kwa maana wokovu watoka kwa Mwenyezi Mungu.Baraka yako na iwe juu ya watu wako.

  16. Salmos 20

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 20
    Mostrando versículos 2–9 de 9

    2Na akutumie msaada kutoka patakatifuna akupatie msaada kutoka Sayuni.

    5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda,tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu.Mwenyezi Mungu na akupe haja zako zote.

    9Ee Mwenyezi Mungu, mwokoe mfalme!Tujibu tunapokuita!

  17. Salmos 18

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 18
    Mostrando versículos 2–48 de 50

    2Mwenyezi Mungu ni mwamba wangu,ngome yangu na mwokozi wangu;Mungu wangu ni mwamba wangu,ninayemkimbilia.Yeye ni ngao yangu na pembe18:2 pembe inamaanisha nguvu ya wokovu wangu,ngome yangu.

    46Mwenyezi Mungu yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu!Atukuzwe Mungu Mwokozi wangu!

    48aniokoaye na adui zangu.Uliniinua juu ya adui zangu;uliniokoa toka kwa watu wajeuri.

  18. Salmos 150

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 150
    Mostrando versículos 1–5 de 6

    1Msifuni Mwenyezi Mungu.150:1 kwa Kiebrania ni Hallelu Yah; pia 150:6.Msifuni Mungu katika patakatifu pake,msifuni katika mbingu zake kuu.

    4msifuni kwa matari na kucheza,msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,

    5msifuni kwa matoazi yaliayo,msifuni kwa matoazi yavumayo sana.

  19. Salmos 22

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 22
    Mostrando versículos 1–21 de 31

    1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa?Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu?

    20Okoa maisha yangu na upanga,uhai wangu wa thamani kutoka nguvu za mbwa.

    21Niokoe kutoka kinywani mwa simba,niokoe kutoka pembe za nyati.

  20. Salmos 37

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 37
    Mostrando versículos 3–39 de 40

    3Mtumaini Mwenyezi Mungu na utende yaliyo mema.Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama.

    34Mngojee Mwenyezi Mungu,na uishike njia yake.Naye atakutukuza uirithi nchi,waovu watakapokatiliwa mbali,utaliona hilo.

    39Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Mwenyezi Mungu,yeye ni ngome yao wakati wa shida.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo