2Kwa uwezo wangu wote nimetenga mali kwa ajili ya Hekalu la Mungu wangu: dhahabu kwa kazi za dhahabu, fedha kwa ajili ya fedha, shaba kwa kazi za shaba, chuma kwa kazi za chuma na miti kwa kazi za miti, vivyo hivyo vito vya shohamu kwa ajili ya kutia kwenye vijalizo, almasi, mawe ya rangi mbalimbali, aina zote za vito vya thamani na marumaru; haya yote kwa wingi mno.
Resultados da busca por "fé"
116 resultados encontrados
- Capítulo 29
1 Crônicas 29
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 2 de 30 - Capítulo 8
Provérbios 8
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 10 de 3610Chagua mafundisho yangu badala ya fedha,maarifa badala ya dhahabu safi,
- Capítulo 13
Gênesis 13
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 2 de 182Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu.
- Capítulo 115
Salmos 115
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 4 de 184Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu,zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
- Capítulo 31
Êxodo 31
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 4 de 184ili kubuni michoro ya kupendeza katika ufundi wa dhahabu, fedha na shaba,
- Capítulo 39
Isaías 39
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 2 de 82Hezekia akawapokea wale wajumbe kwa furaha na kuwaonesha vitu vile vilivyokuwa katika ghala zake: yaani fedha, dhahabu, vikolezo na mafuta safi, ghala la silaha lote, na kila kitu kilichokuwa katika hazina yake. Hapakuwa na kitu katika jumba lake la kifalme au katika ufalme wake wote ambacho Hezekia hakuwaonesha.
- Capítulo 7
Provérbios 7
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 20 de 2720Amechukua mkoba uliojazwa fedhana hatakuwa nyumbani karibuni."
- Capítulo 47
Gênesis 47
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 14 de 3114Yusufu akakusanya fedha zote zilizopatikana kutoka mauzo ya nafaka huko Misri na Kanaani, akazileta kwenye jumba la kifalme la Farao.
- Capítulo 26
Êxodo 26
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 19 de 3719kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.
- Capítulo 66
Salmos 66
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 10 de 2010Ee Mungu, wewe ulitujaribu,ukatusafisha kama fedha.
- Capítulo 46
Isaías 46
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 6 de 136Wengine humwaga dhahabu kutoka mifuko yao,na kupima fedha kwenye mizani;huajiri mfua dhahabu kutengeneza mungu,kisha huisujudia na kuiabudu.
- Capítulo 31
Isaías 31
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 7 de 97Kwa kuwa katika siku ile kila mmoja wenu atazikataa sanamu za fedha na za dhahabu zilizotengenezwa kwa mikono yenu yenye dhambi.
- Capítulo 135
Salmos 135
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 15 de 2115Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu,zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
- Capítulo 2
Isaías 2
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 7 de 227Nchi yao imejaa fedha na dhahabu,hakuna mwisho wa hazina zao.Nchi yao imejaa farasi,hakuna mwisho wa magari yao ya vita.
- Capítulo 52
Isaías 52
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 3 de 153Kwa kuwa hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu:"Mliuzwa pasipo malipo,nanyi mtakombolewa bila fedha."
- Capítulo 60
Isaías 60
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 9 de 229Hakika visiwa vinanitazama;merikebu za Tarshishi60:9 au: za biashara(taz. 1 Wafalme 10:22; 22:48; 2 Nyakati 9:21; 20:36; Isaya 2:16). ndizo zinazotangulia,zikiwaleta wana wenu kutoka mbali,wakiwa na fedha na dhahabu zao,kwa heshima ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu,yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli,kwa maana amekujalia utukufu.