Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "fé"

138 resultados encontrados

  1. Provérbios 8

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículos 13–30 de 36

    13Kumcha Mwenyezi Mungu ni kuchukia uovu;ninachukia kiburi na majivuno,tabia mbaya na mazungumzo potovu.

    23niliteuliwa tangu milele,tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa.

    30Wakati huo nilikuwa fundi stadi kando yake.Nilijazwa na furaha siku baada ya siku,nikifurahi daima mbele zake,

  2. Gênesis 13

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 4–9 de 18

    4pale alipokuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la Mwenyezi Mungu.

    5Basi Lutu, aliyekuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na mifugo na mahema.

    9Je, nchi yote haiko mbele yako? Tutengane. Ukielekea kushoto, nitaenda kulia; ukielekea kulia, mimi nitaenda kushoto."

  3. Isaías 46

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 46
    Mostrando versículos 1–11 de 13

    1Beli anasujudu, Nebo anainama;sanamu zao zabebwa na wanyama wa mizigo.Vinyago hivi mnavyobeba kila mahali ni mzigo wa kulemea,mzigo kwa waliochoka.

    4Hata wakati wa uzee wenu na mvi, Mimi ndiye,Mimi ndiye nitakayewasaidia ninyi.Nimewahuluku, nami nitawabeba,nitawahudumia ninyi na kuwaokoa.

    11Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye;kutoka nchi ya mbali,mtu atakayetimiza kusudi langu.Lile ambalo nimelisema, ndilo nitakalolitimiza;lile nililolipanga, ndilo nitakalolitenda.

  4. Salmos 52

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 52
    Mostrando versículos 1–9 de 9

    1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya?Kwa nini unajivuna mchana kutwa,wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu?

    3Unapenda mabaya kuliko mema,uongo kuliko kusema kweli.

    9Nitakusifu milele kwa yale uliyoyatenda,nitatumaini jina lako, kwa kuwa jina lako ni jema.Nitakusifu mbele ya watakatifu wako.

  5. Provérbios 7

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículos 1–19 de 27

    1Mwanangu, shika maneno yanguna kuzihifadhi amri zangu ndani yako.

    3Yafunge katika vidole vyako;yaandike katika kibao cha moyo wako.

    19Mume wangu hayupo nyumbani;ameenda safari ya mbali.

  6. Gênesis 47

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 47
    Mostrando versículos 2–8 de 31

    2Akawachagua ndugu zake watano na kuwapeleka mbele ya Farao.

    5Farao akamwambia Yusufu, "Baba yako na ndugu zako wamekuja kwako,

    8Farao akamuuliza, "Je, una umri gani?"

  7. Salmos 88

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 88
    Mostrando versículos 8–11 de 18

    8Umenitenga na rafiki zangu wa karibuna kunifanya chukizo kwao.Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka;

    9nuru ya macho yanguimefifia kwa ajili ya huzuni.Ee Mwenyezi Mungu, ninakuita kila siku,ninakunyooshea wewe mikono yangu.

    11Je, upendo wako hutangazwa kaburini,uaminifu wako katika Uharibifu88:11 yaani Abadon?

  8. Isaías 31

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 31
    Mostrando versículos 3–6 de 9

    3Lakini Wamisri ni wanadamu, wala si Mungu,farasi wao ni nyama, wala si roho.Mwenyezi Mungu atakaponyoosha Mkono wake,yeye anayesaidia atajikwaa,naye anayesaidiwa ataanguka,wote wawili wataangamia pamoja.

    6Mrudieni yeye ambaye nyumba ya Israeli imemwasi sana.

  9. Salmos 71

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 71
    Mostrando versículos 4–19 de 24

    4Ee Mungu wangu uniokoe kutoka mkono wa mwovu,kutoka makucha ya watu wapotovu na wakatili.

    6Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe,ulinitoa tumboni mwa mama yangu.Nitakusifu wewe daima.

    19Ee Mungu, haki yako imefika juu Lakini mimi mbingu,wewe ambaye umefanya mambo makuu.Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe?

  10. Isaías 2

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículos 5–22 de 22

    5Njooni, enyi nyumba ya Yakobo,tutembeeni katika nuru ya Mwenyezi Mungu.

    15kwa kila mnara ulio mrefu sanana kila ukuta wenye ngome,

    22Acheni kumtumainia mwanadamu,ambaye hana kitu ila pumzi katika pua zake.Yeye ana thamani gani?

  11. Salmos 109

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 109
    Mostrando versículos 1–30 de 31

    1Ee Mungu, ninayekusifu,usiwe kimya,

    23Ninafifia kama kivuli cha jioni,nimerushwa-rushwa kama nzige.

    30Kwa kinywa changu nitamtukuza sana Mwenyezi Mungu,katika umati mkubwa nitamsifu.

  12. Isaías 52

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 52
    Mostrando versículos 1–11 de 15

    1Amka, amka, ee Sayuni,jivike nguvu.Vaa mavazi yako ya fahari,ee Yerusalemu, mji mtakatifu.Asiyetahiriwa na aliye najisihataingia kwako tena.

    2Jikung’ute mavumbi yako,inuka, uketi kwenye kiti cha utawala, ee Yerusalemu.Jifungue minyororo iliyo shingoni mwako,ee Binti Sayuni uliye mateka.

    11Ondokeni, ondokeni, tokeni huko!Msiguse kitu chochote kilicho najisi!Tokeni kati yake mwe safi,ninyi mchukuao vyombo vya Mwenyezi Mungu.

  13. Salmos 15

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 15
    Mostrando versículos 1–3 de 5

    1Mwenyezi Mungu, ni nani awezaye kukaakatika Hekalu lako?Nani awezaye kuishikatika mlima wako mtakatifu?

    2Ni yule aendaye pasipo mawaa,atendaye yaliyo haki,asemaye kweli toka moyoni mwake,

    3na hana masingizio ulimini mwake,asiyemtenda jirani yake vibaya,na asiyemsingizia mwenzake,

  14. Isaías 60

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 60
    Mostrando versículos 6–22 de 22

    6Makundi ya ngamia yatajaa katika nchi yako,ngamia vijana wa Midiani na Efa.Nao watu wote wanaotoka Sheba watakuja,wakichukua dhahabu na uvumbana kutangaza sifa za Mwenyezi Mungu.

    17Badala ya shaba nitakuletea dhahabu,na fedha badala ya chuma.Badala ya mti nitakuletea shaba,na chuma badala ya mawe.Nitafanya amani kuwa mtawala wako,na haki kuwa mfalme wako.

    22Aliye mdogo kwenu atakuwa elfu,mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu.Mimi ndimi Mwenyezi Mungu;katika wakati wake nitayatimiza haya upesi."

  15. Salmos 12

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículos 1–6 de 8

    1Mwenyezi Mungu tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka;waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu.

    3Mwenyezi Mungu na akatilie mbali midomo yote ya hilana kila ulimi uliojaa majivuno,

    6Maneno ya Mwenyezi Mungu ni safi,kama fedha iliyosafishwa katika tanuru,iliyosafishwa mara saba.

  16. Salmos 115

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 115
    Mostrando versículos 10–15 de 18

    10Ee nyumba ya Haruni, mtumainini Mwenyezi Mungu,yeye ni msaada na ngao yao.

    11Ninyi mnaomcha, mtumainini Mwenyezi Mungu,yeye ni msaada na ngao yao.

    15Mbarikiwe na Mwenyezi MunguMuumba wa mbingu na dunia.

  17. Salmos 66

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 66
    Mostrando versículos 1–5 de 20

    1Mpigieni Mungu kelele za shangwe, dunia yote!

    2Imbeni utukufu wa jina lake;mpeni sifa zake kwa utukufu!

    5Njooni mwone yale Mungu aliyoyatenda,mambo ya kutisha aliyoyatendamiongoni mwa wanadamu!

  18. Salmos 135

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 135
    Mostrando versículos 1–20 de 21

    1Msifuni Mwenyezi Mungu.135:1 kwa Kiebrania ni Hallelu Yah pia 135:3, 21.Lisifuni jina la Mwenyezi Mungu,msifuni, enyi watumishi wa Mwenyezi Mungu,

    13Ee Mwenyezi Mungu, jina lako ladumu milele,kumbukumbu za fahari zako,Ee Mwenyezi Mungu, kwa vizazi vyote.

    20ee nyumba ya Lawi, msifuni Mwenyezi Mungu;ninyi mnaomcha, msifuni Mwenyezi Mungu.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo