18 Kiburi hutangulia maangamizi,
roho ya majivuno hutangulia maanguko.
19 Ni afadhali kuwa na roho ya unyenyekevu
miongoni mwa walioteswa
kuliko kugawana nyara na wenye kiburi.
18 Kiburi hutangulia maangamizi,
roho ya majivuno hutangulia maanguko.
19 Ni afadhali kuwa na roho ya unyenyekevu
miongoni mwa walioteswa
kuliko kugawana nyara na wenye kiburi.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.