Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Crônicas 16

34 Zab 106:1;107:1;118:1Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema;

Kwa maana fadhili zake ni za milele.

35 Zab 106:47,48Nanyi semeni,

Ee Mungu wa wokovu wetu, utuokoe,

Utukusanye kwa kututoa katika mataifa,

Tulishukuru jina lako takatifu,

Tuzifanyie shangwe sifa zako.

36 1 Fal 8:15;Zab 72:18,19;Kum 27:15;Neh 8:6Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli, tangu milele hata milele. Na watu wote wakasema, Amina; wakamhimidi BWANA.

Veja também