Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Mambo ya Nyakati 23

4 Kum 16:18;1 Nya 26:29;2 Nya 19:8Katika hao elfu ishirini na nne walikuwa wa kusimamia kazi ya nyumba ya BWANA; na elfu sita walikuwa maofisa na waamuzi; 5 2 Nya 29:25,26;Amo 6:5na elfu nne walikuwa mabawabu; na elfu nne walimsifu BWANA kwa vinanda, nilivyovifanya, alisema Daudi, vya kumsifia.

Veja também