13 Basi sasa, Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu jina lako tukufu. 14 Lakini mimi ni nani, na watu wangu ni nani, hata tuweze kutoa kwa hiari hivi? Kwani vitu vyote vyatoka kwako na katika vitu vyako mwenyewe tumekutolea.
Publicidade
1 Mambo ya Nyakati 29:13,14
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
13 Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru
na kulisifu Jina lako tukufu.
14 "Lakini mimi ni nani, nao watu wangu ni nani, hata tuweze kukutolea kwa ukarimu namna hii? Vitu vyote vyatoka kwako, nasi tumekutolea tu vile vinavyotoka mkononi mwako.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
13 Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru
na kulisifu Jina lako tukufu.
14 "Lakini mimi ni nani, nao watu wangu ni nani, hata tuweze kukutolea kwa ukarimu namna hii? Vitu vyote vyatoka kwako, nasi tumekutolea tu vile vitokavyo mkononi mwako.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.