22 Sam 16:8;Zab 22:7,8 Ni wengi wanaoiambia nafsi yangu,Hana wokovu huyu kwa Mungu.
4Kwa sauti yangu namwita BWANANaye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
8Zab 37:39,40;Mit 21:31;Hes 13:4 Wokovu ni wa BWANA;Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
44 resultados encontrados
22 Sam 16:8;Zab 22:7,8 Ni wengi wanaoiambia nafsi yangu,Hana wokovu huyu kwa Mungu.
4Kwa sauti yangu namwita BWANANaye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
8Zab 37:39,40;Mit 21:31;Hes 13:4 Wokovu ni wa BWANA;Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
2Amka, kinanda na kinubi,Nitaamka alfajiri.
12Utuletee msaada juu ya mtesi,Maana wokovu wa binadamu haufai.
13Isa 25:10;30:3;Omb 1:15;Mal 4:3;Mdo 1:20;Ufu 14:19-20 Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu,Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu.
5Zab 108:6 Ili wapenzi wako waopolewe,Utuokoe kwa mkono wako wa kulia, utuitikie.
6Zab 89:35;Mwa 12:6;Yos 13:27 Mungu amenena kwa utakatifu wake,Nami nikishangilia.Nitaigawanya Shekemu,Na kulipima bonde la Sukothi.
11Utuletee msaada juu ya mtesi,Maana wokovu wa binadamu haufai kitu.
1Isa 42:10 Haleluya.Mwimbieni BWANA wimbo mpya,Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
4Mit 11:20 Kwa kuwa BWANA awaridhia watu wake,Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
9Kum 7:1-2;Ufu 5:10;Rum 16:20;1 Yoh 5:4 Kuwafanyia hukumu iliyoandikwa;Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote.Haleluya.