Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "salvação"

26 resultados encontrados

  1. Romanos 16

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 16
    Mostrando versículos 16–24 de 27

    161 Kor 16:20;1 Pet 5:14 Salimianeni kwa busu takatifu. Makanisa yote ya Kristo yawasalimu.

    20Rum 15:33;Mwa 3:15 Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi.Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]

    24Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.]

  2. 2 Coríntios 13

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 4–12 de 13

    4Flp 2:7,8 Maana, alisulubiwa katika udhaifu, lakini anaishi kwa nguvu za Mungu. Maana sisi nasi tu dhaifu katika yeye; lakini tutaishi pamoja naye kwa uweza wa Mungu ulio kwenu.

    51 Kor 11:28 Jichunguzeni wenyewe muone kama mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa iwe mmekataliwa.

    121 Kor 16:20 Salimianeni kwa busu takatifu. Watakatifu wote wanawasalimu.

  3. 1 Pedro 5

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 11–14 de 14

    11Uweza una yeye hata milele na milele. Amina.

    13Mdo 12:12,25;13:13;15:37-39;Kol 4:10;Flm 1:24;2 Tim 4:11 Mwenzenu mteule hapa Babeli awasalimu, na Marko mwanangu.

    141 Kor 16:20 Salimianeni kwa busu la upendo.Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina.

  4. Filipenses 4

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 4
    Mostrando versículos 5–21 de 23

    5Ebr 10:37;Yak 5:8,9 Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yuko karibu.

    20Sasa atukuzwe Mungu, Baba yetu, milele na milele. Amina.

    21Mnisalimie kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wanawasalimu.

  5. Êxodo 20

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 20
    Mostrando versículos 8–14 de 26

    8Kut 16:23-30;31:12-14;Kum 5:12 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.

    13Mwa 9:6;Law 24:17;Mt 5:21;19:18;Mk 10:19;Lk 18:20;Rum 13:9;Yak 2:11 Usiue.

    14Law 20:10;Mt 5:27;19:18;Mk 10:19;Lk 18:20;Rum 13:9;Yak 2:11 Usizini.

  6. Josué 15

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 15
    Mostrando versículos 26–40 de 63

    26Amamu, Shema, Molada;

    29Baala, Iyimu, Esemu;

    40Kaboni, Lamasi, Kithilishi;

  7. 1 Crônicas 11

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 11
    Mostrando versículos 29–40 de 47

    29Sibekai Mhushathi, Salmoni Mwahohi;

    36Mmaakathi, Ahia Mpeloni;

    40Yos 15:48;1 Nya 2:50,53 Ira Mwithri, Garebu Mwithri;

  8. Neemias 10

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 10
    Mostrando versículos 3–25 de 39

    3Pashuri, Amaria, Malkiya;

    24Haloheshi, Pilha, Shobeki;

    25Rehumu, Hashabna, Maaseya;

  9. Provérbios 14

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 14
    Mostrando versículos 26–30 de 35

    26Kumcha BWANA ni tumaini imara;Watoto wake watakuwa na kimbilio.

    27Mit 13:14 Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima,Ili kuepukana na tanzi za mauti.

    30Ayu 5:2;Zab 112:10;Mdo 7:9;Rum 1:29;Yak 4:5 Moyo ulio mzima ni uhai wa mwili;Bali husuda ni ubovu wa mifupa.

  10. Salmos 56

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 56
    Mostrando versículos 4–10 de 13

    4Ebr 13:5,6 Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake.Nimemtumaini Mungu, sitaogopa;Mwenye mwili atanitenda nini?

    7Je! Wataokoka kwa uovu wao?Ee Mungu, uwaangamize kwa hasira yako.

    10Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake.Kwa msaada wa BWANA nitalisifu neno lake.

  11. Romanos 3

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 2–22 de 31

    2Rum 9:4;Kum 4:7,8;Zab 147:19,20;103:7;1 Pet 4:11 Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.

    6Hasha! Kwa maana hapo Mungu atawezaje kuuhukumu ulimwengu?

    22Gal 2:16 ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio. Maana hakuna tofauti;

  12. 1 Timóteo 6

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 6
    Mostrando versículos 6–21 de 21

    61 Tim 4:8;Ebr 13:5;Flp 4:11,12 Lakini utauwa pamoja na kuridhika ni faida kubwa.

    16Kut 33:20 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyewahi kumwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.

    211 Tim 1:6;2 Tim 2:18 ambayo wengine kwa kuikiri wamepoteza Imani. Neema na iwe pamoja nanyi.

  13. Ezequiel 32

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 32
    Mostrando versículos 11–20 de 32

    11Yer 46:26 Maana Bwana MUNGU asema hivi; Upanga wa mfalme wa Babeli utakujia.

    19Eze 31:2;28:10 Umemshinda nani kwa uzuri? Shuka, ukalazwe pamoja na wasiotahiriwa.

    20Wataanguka kati ya watu waliouawa kwa upanga; ametolewa apigwe na upanga; mvuteni aende mbali pamoja na watu wake wote jamii.

  14. 1 Crônicas 1

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 1
    Mostrando versículos 18–25 de 54

    18Na Arfaksadi akamzaa Sala, na Sala akamzaa Eberi.

    24Mwa 11:10;Lk 3:36 Shemu, na Arfaksadi, na Sala;

    25Mwa 11:15;Hes 24:24;Lk 3:35 na Eberi, na Pelegi, na Reu;

  15. 1 Pedro 1

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 1
    Mostrando versículos 2–24 de 25

    2Rum 8:29;Ebr 12:24 kama vile Mungu Baba alivyotangulia kuwajua katika kutakaswa na Roho, hata mkapata kutii na kunyunyiziwa damu ya Yesu Kristo. Neema na amani na ziongezwe kwenu.

    9Rum 6:22 katika kuupokea mwisho wa imani yenu, yaani, wokovu wa roho zenu.

    24Isa 40:6-8;Yak 1:10,11 Maana,Mwili wote ni kama majani,Na fahari yake yote ni kama ua la majani.Majani hukauka na ua lake huanguka;

  16. Salmos 79

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 79
    Mostrando versículos 9–11 de 13

    9Yos 7:0;Yer 14:7 Ee Mungu wa wokovu wetu, utusaidie,Kwa ajili ya utukufu wa jina lako.Utuokoe, utusamehe dhambi zetu,Kwa ajili ya jina lako.

    10Kwa nini mataifa yaseme,Yuko wapi Mungu wao?Kisasi cha damu ya watumishi wako iliyomwagikaKijulike kati ya mataifa machoni petu.

    11Hes 14:17 Kuugua kwake aliyefungwaNa kuingie mbele zako.Kwa kadiri ya uweza wa mkono wakoUwahifadhi waliohukumiwa kufa.

  17. 1 Coríntios 6

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 6
    Mostrando versículos 3–20 de 20

    3Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya?

    10Gal 5:19-21 wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

    201 Pet 1:18,19;1 Kor 7:23;Flp 1:20 maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.

  18. Jó 30

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 30
    Mostrando versículos 7–28 de 31

    7Hulia kama punda vichakani;Hukusanyika chini ya upupu.

    25Lk 19:41;Yn 11:35;Rum 12:15 Je! Mimi sikulia kwa ajili ya huyo aliyekuwa katika taabu?Nafsi yangu, je! Haikusononeka kwa ajili ya wahitaji?

    28Omb 3:1,2 Naenda nikiomboleza pasipo jua;Nasimama katika mkutano, na kuulilia msaada.

  19. Neemias 12

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 12
    Mostrando versículos 2–20 de 47

    2Amaria, Maluki, Hatushi;

    5Miyamini, Maazia, Bilgai;

    20wa Salu, Kalai; wa Amoki, Eberi;

  20. Gênesis 10

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 10
    Mostrando versículos 24–28 de 32

    24Mwa 11:12 Arfaksadi akamzaa Sela, Sela akamzaa Eberi.

    27na Hadoramu, na Uzali, na Dikla,

    28na Obali, na Abimaeli, na Seba,

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo