Mostrando versículo 7 de 22
7Tena nchi yao imejaa fedha na dhahabu, wala hapana mwisho wa hazina zao; tena nchi yao imejaa farasi, wala hapana mwisho wa magari yao.
107 resultados encontrados
7Tena nchi yao imejaa fedha na dhahabu, wala hapana mwisho wa hazina zao; tena nchi yao imejaa farasi, wala hapana mwisho wa magari yao.
10Zek 13:9 Kwa maana umetupima, Ee Mungu,Umetujaribu inavyojaribiwa fedha.
10Pokea mafundisho yangu, wala si fedha,Na maarifa kuliko dhahabu safi.
15Zab 115:4-8;Ufu 9:20 Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu,Kazi ya mikono ya wanadamu.
20Amechukua mfuko wa fedha mkononi;Atarudi wakati wa mwezi mpevu.
13Zab 81:6;Efe 5:26,27 Kwa nini kulala mazizini arukapo hua,Mbawa zake ziking’aa kama fedhaNa manyoya yake kama dhahabu?
19Efe 5:4 Ndivyo alivyo amdanganyaye mwenzake,Na kusema, Je! Sikufanya mzaha tu?