23 Ebr 11:28;Eze 9:6;Ufu 7:3;9:4;2 Sam 24:16;1 Kor 10:10Kwa kuwa BWANA atapita ili awapige hao Wamisri; na hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha juu, na katika ile miimo miwili, BWANA atapita juu ya mlango, wala hatamwacha mharibifu aingie nyumbani mwenu kuwapiga ninyi.