Publicidade

Ezequiel 36

25 Hes 19:13;Isa 52:15;Yer 33:8;1 Yoh 1:7Nami nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi; nitawatakaseni kutoka kwa uchafu wenu wote, na kutoka kwa vinyago vyenu vyote. 26 Zab 51:10;Yn 3:3-5;2 Kor 3:18;Eze 11:19-20Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani ya mwili wenu, nami nitawapa moyo wa nyama. 27 Eze 37:14;Isa 44:3;Rum 8:4,9;Gal 5:5;Efe 1:13Nami nitatia roho yangu ndani yenu, na kuwaendesha katika sheria zangu, nanyi mtazishika hukumu zangu, na kuzitenda.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-