22 Neh 9:31;Zab 57:10;Mal 3:6Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
23 Isa 33:2;Ebr 10:23Ni mpya kila siku asubuhi;
Uaminifu wako ni mkuu.
24 Zab 16:5BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu,
Kwa hiyo nitamtumaini yeye.