25 Zab 130:6BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao,
Kwa hiyo nafsi imtafutayo.
26 Zab 37:7Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA
Na kumngojea kwa utulivu.