33 Tageni vintu vyenu mkawekhe wakiwa izo hea. Mwegosoee vifuko vya hea vyesayokusakaa, na uko nee kuika kiikizo uwanga kwa Muungu ambaho taa dakwe khadihungua, uko wabavi khawabua na wala mswa khawabananga. 34 Hada enaho kiikizo chako, nee endaho uwe aho moyo wako.
Publicidade