Msimo wa Mfalisayo na Mtoza ushuu
9 Yesu akawamba msimo unu kwa wada weonao ni wedi na kuwabeya watuhu. 14 Nawamba, uyo mtoza ushuu akauya nyumbai akawa kafiiwa mbazi. Akini yuda mtuhu, khivyo. Yuda etendae kuwa mkuu enda atendwe mdogo, na kia etendae mdodo enda atendwe kuwa mkuu."