28 Petulo akamwamba, "Zumbe, ikawa ni wee kwei, nambia nende uwanga ya mazi neze aho hako."
29 Yesu akamtambaisa, "Soo!" Aho Petulo akaseeya mwe ida ngaawa, akenda uwanga ya mazi na kumtimia Yesu. 30 Akini ekuonaho khusi khai akengiwa ni matu nae akavoka kudidimia mwe mazi, uku atoa vuzo, "Zumbe niohoe!"
31 Ahoaho Yesu akanyoosha mkono wakwe na kumtoza, akamwamba, "Wee mwenye uzumizi mcheche kwambwai kuwa na maatu?"