Kuuya na nyuma kwa Yuda Isikaliote
3 Yuda Isikaliote mwekumhituka Yesu, ekuonaho Yesu kabindakae kuamuiwa, akamema usungu na akawavuzia wagookezi wa waviki wakuu zia ntii za makumi matatu ya madini ya feza. 4 Akawamba, "Khikoa masa kwa kumlavya mntu mwesekuwa na masa yoyose akomwe."
Iya wowo wakamtambaisa, "Yatiambiiza mbwai swie? Ivyo umanye wee mwenye!"