Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 11

2 Roho wa Mwenyezi Mungu atakaa juu yake,

Roho wa hekima na wa ufahamu,

Roho wa shauri na wa uweza,

Roho wa maarifa na wa kumcha Mwenyezi Mungu

3 naye atafurahia kumcha Mwenyezi Mungu.

Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake,

wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake,

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também