Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaías 26

3 Utamlinda katika amani kamilifu

yeye ambaye moyo wake ni thabiti

kwa sababu anakutumaini wewe.

4 Mtumaini Mwenyezi Mungu milele,

kwa kuwa Mwenyezi Mungu,

Mwenyezi Mungu,

ni Mwamba wa milele.

Veja também