22 Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwamuzi wetu,
Mwenyezi Mungu ndiye mtoa sheria wetu,
Mwenyezi Mungu ni mfalme wetu,
yeye ndiye atakayetuokoa.
22 Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwamuzi wetu,
Mwenyezi Mungu ndiye mtoa sheria wetu,
Mwenyezi Mungu ni mfalme wetu,
yeye ndiye atakayetuokoa.