3 Sauti ya mtu aliaye nyikani:
"Itengenezeni njia ya Mwenyezi Mungu jangwani,
yanyoosheni mapito nyikani
kwa ajili ya Mungu wetu.
8 Majani hunyauka na maua huanguka,
lakini neno la Mungu wetu ladumu milele."
3 Sauti ya mtu aliaye nyikani:
"Itengenezeni njia ya Mwenyezi Mungu jangwani,
yanyoosheni mapito nyikani
kwa ajili ya Mungu wetu.
8 Majani hunyauka na maua huanguka,
lakini neno la Mungu wetu ladumu milele."
3 Mal 3:1;Lk 1:76;Mt 3:3;Mk 1:3;Yn 1:23Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye,
Itengenezeni nyikani njia ya BWANA;
Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.
8 Majani yakauka, ua lanyauka;
Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
3 Sauti ya mtu aliaye:
"Itengenezeni jangwani njia ya Bwana,
nyoosheni njia kuu nyikani
kwa ajili ya Mungu wetu.
8 Majani hunyauka na maua huanguka,
lakini neno la Mungu wetu ladumu milele."
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.